TSh15,000,000

BOMA LINAUZWA KWA BEI YA Tsh mill 15.

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 1462

  • Added: 27th August 2018

  • Sale Price: TSh15,000,000

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: # 0713 012372 ## 0787 868970

  • Views: 709

Description

Hili Boma linapatikana hapa jijini DSM. Lipo Mjini Msongola kata ya Ukonga ktk Wilaya ya Ilala.

Lina vyumba (4) vyote master bedroom, ina big sittngroom, dinning, kitchen public toilet,

Bado lina eneo lakujenga fance ya kulaza gari , na tayari lina shimo la choo la kudumu.

Hili Boma limefikiwa na huduma zote za kijamii zipo karibu.

Muhusika ni mmoja na halijakopewa. Kwa Mwenye kupendezwa nalo Nipigie Simu

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

TSh15,000,000

classiera loader