CAR RADIO, CAR ALARMS, CAR SEAT COVER, BACK CAMERA TSh250,000

1 of
Previous Next

Ad Details

Description

Hii ni huduma kwa wanaomiliki magari, tunakuletea radio zenye ubora na muonekano wa kisasa. Zinatumia USB, SD, DVD, AUX, BLUETOOTH. Mfano ukiwa unaendesha gari yako unaunganisha bluetooth ya cm kwenye radio ili ukipigiwa cm unapokelea kwenye radio, hii itakufanya uwe salama.

Huduma nyingine ni alarm kwaajili ya ulinzi na usalama wa gari yako, vitu vyako vilivyo ndani ya gari na utakua umewakomesha wadokozi wa side mirror na vingne vidogo vidogo. Kila anaemiliki gari anajua adha ya wadokozi pindi wakiisogelea gari lakn pia wezi wamagari nao wanatumia nafasi hyo hyo. Chukua hatua tushirikiane kuwadhibiti ili gari yako iwe salama.

GPS tracking system
Hii ukishaiweka kwenye gari utakua na uwezo wa kujua mahali ilipo gari yako, inatembea au imesimama, inatembea speed ngapi na pia unaweza kuizima gari yako bila kujali umbali ilipo gari.

Car seat covers
Hii ni kwaajili ya kulinda viti vya gari yako, kutengeneza muonekano bora zaidi na wa kuvutia.

Tunazo pia back camera, subwoofer, buster, cross over, capet

Huduma zote hizi ukihitaji kama upo Dar tunakuletea ulipo na kukufungia bila gharama za ziada. Mikoani tunatuma kwa njia ya basi. Tupo kwaajili ya kukuhudumia

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

classiera loader