Price on call

Afya na Tiba ya kinywa na meno

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 1578

  • Added: 28th August 2018

  • Sale Price: Price on call

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0679772809

  • Views: 1114

Description

IJUE AFYA YA KINYWA NA MENO NA TIBA YAKE.

Kinywa ni muhmu sana kwan ndo njia ya kwanza ya kupata virutubisho mwilini ili tuishi.
Meno yanatusaidia ktk kukata na kusaga chakula.

Matatzo ya kinywa na meno
1 harufu mbaya kinywan
2 Meno kuuma
3 Meno kufa ganzi
4 Meno mabovu yaliyotobolewa na wadudu
5 Meno kukosa rangi nyeupe halisi hasa kwa wanaotumia sigara

Eternal white tea much effect toothpaste
Ni dawa ya asili inayotokana na mimea tiba ya asili iliyochanganywa na virutubisho vingi vinavyoisaidia dawa kuwa bora zaidi na kusaidia matatzo yote ya meno
Kazi zake kubwa ni
1.inasaidia kuua wadudu(bacteria) kwenye meno
2.inaondoa harufuvmbaya ya kinywa
3.inaondoa fangasi wa vidoleni au katika kucha
4.inaacha harufu nzuri ktk kinywa
5.inasaidia pia kwa wale wanaosumbuliwa na ganzi baada ya siku 2 tu
6.hufanya meno kuwa meupe zaidi na ya kuvutia hasa kwa wale ambao meno yao yameharibiwa na matumizi ya vitu kama sigara.
Mawasiliano 0679772809 au 0782235286

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

Price on call

classiera loader