KARIBU UJENGE NASI NYUMBA YA NDOTO YAKO KWA KUTUMIA RAMANI YA KISASA

1 of
Previous Next

Ad Details

Description

ARIBU UJENGE NASI NYUMBA YA NDOTO YAKO KWA KUTUMIA RAMANI YA KISASA.
Hii Ramani ya nyumba ya vyumba 3.
-Chumba cha master.
-Vyumba 2 vya kawaida
-Choo cha ndani
-Sebule.
-Sehemu ya kulia chakula(Dining).
-Jiko na stoo yake.
-Baraza mbele na nyuma.

Inatumia tofali 3200 za block (inchi 6)
Inatumia bati 65 za futi 10.

Tupigie simu kwa huduma za ramani bora na kujenga.
0757270278(whattsapp)
0718744960

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

classiera loader