sh 5000 tu package ya kilo 1

MPE MWANAO FURAHA YA KULA KWA KUTUMIA UNGA WA JOJO LISHE

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 2697

  • Added: 10th September 2018

  • Sale Price: sh 5000 tu package ya kilo 1

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: piga 0716 497539

  • Views: 2037

Description

MPE MWANAO FURAHA YA KULA KWA KUTUMIA UNGA WA JOJO LISHE

Siku hizi hatukabi watoto kwani jojo lishe ndo mkombozi wa watoto wasiopenda uji. Unga wa jojo lishe ni mchanganyiko wa mahindi lishe, viazi lishe, mbegu za maboga na mchicha nafaka. Unga huu una virutubisho ambavyo hurudisha ham ya kula kwa mtoto, huongeza uzito na kufanya mtoto awe na afya bora.

Unga ni sh 5000 tu package ya kilo 1 Dar nzima. Ukihitaji kuletewa unalipia nauli ya mahali ulipo.

Tupo Mwenge Mpakani ila ukitaka unaletewa popote ulipo.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0716 497539

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

sh 5000 tu package ya kilo 1

classiera loader