25,000

Kifaa cha kutengenezea tambi

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 4489

  • Added: 21st September 2018

  • Sale Price: 25,000

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0752434547

  • Views: 332

Description

Mahitaji
Unga wa dengu kl 1
Pili pili manga kiasi
Pili pili ya unga kiasi
Chumvi kiasi
Mafuta ya kupikia kikombe 1
Maji ya vugu vugu ya kukandia kiasi

Changanya vitu vikavyu vyoote kisha weka mafuta changanya tia maji kidogo kidogo mpka upate kando lain si laini sana
Kisha acha dk kumi bandika mafuta yako jikoni anza kuweka mchanganyiko wako ktk machine ya tambi.

Kumbuka a engine wanatia baking soda na wengine hawatii baking soda kwa hiyo ni uamuzi wako ukiweka baking soda tambi zinakuwa lain kidogo ila usipoweka tambi ndo zawa ngumu ni mawazo yangu hayo . Asanteni
Kwa kifaa cha kutengenezea Tambi unakipata kwa 25000 tu call 0752434547

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

25,000

classiera loader