5,000 per Kg

Minas lishe

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 4473

  • Added: 21st September 2018

  • Sale Price: 5,000 per Kg

  • Location: Tanzania

  • State: Kilimanjaro Region

  • Phone: 0765016517

  • Views: 645

Description

Je, mwanao hapendi kula? Haongezeki uzito? Umehangaika na lishe nyingi bila mafanikio…….. nakuhakikishia hii ni mwsho wa matatizo yako hutojutia hela yako
karibu ujipatie unga bora wa lishe uliotengenezwa kwa kufuata uwiano wa nafaka zenye virutubisho vyote muhimu kwa mtoto
unga huu una mchanganyiko wa viaz lishe, ufuta, mahindi lishe na mbegu za maboga
Matumizi
Unatumiwa na watoto kuanzia miez sita na kuendelea, wazee, wajawazito, wamama wanaonyonyesha, wagonywa walopoteza hamu ya kula n. K
faida
hurudisha hamu ya kula kwa watoto wasiopenda kula
Huongeza uzito kwa watoto na kinga dhidi ya maradhi
una vitaminA inayosaidia utimamu wa mama na m toto
husaidia kumeng’enya chakula huzuia saratani ikiwemo ya matiti
mahindi lishe yanaviini lishe vinavokinga mwili dhidi ya sukari piah hayana tabia ya kujaza gesi tumbo kwa watoto
unapatikana kilo 5000 nusu 2500 dar na mikoan 6000 kilo nusu 3000 mteja ukihitaji kuletewa utachangia kias cha nauli
mawasiliano zaidi ushauri maoni 0672097009 KWA AFYA BORA TUMIA MINAS LISHE
MAWAKALA
mikoani
IGUNGA 0672898111
Mbeya*chunya 0719908099
Mwanza *mjini 0757444893
Arusha 0768259593
Moshi 0765016517
mwanza 0759535757
Mbeya mjini 0765859294
Dodoma 0623526709
Tanga 0686737407
Zanzibar 0774485212

Dar
Msuguri 0656031730
Kigamboni *geza 0688049039
Kimara baruti 0657388787
kibaha 0655338907
kigamboni 0678998795
msingwa 0675183048
Kiwalani 0719251076
Ilala 0653103729
kimara 0712703373
bagamoyo 0652779081
gongo la mboto 0717009933
Makumbusho 0756606060

BADO TUNAHITAJI MAWAKALA

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

5,000 per Kg

classiera loader