TZS450000

TV CASE INAUZWA

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 9145

  • Added: 30th October 2019

  • Sale Price: TZS450000

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0687423533

  • Views: 480

Description

Tv show case inauzwa..!iko na pande 3..!1*sehemu kwa ajili ya kazi zako za kiofisii
2*Sehemu ya kati kwa ajili ya kuweka vitu kama ving’amuzi spika pamoja na deck
3*sehemu ya tatu ni kwa ajili ya kuweka urembo au vyombo specia..!
Lina draw za kutosha kwa ajili ya kuhifadhi document zako pamoja na cds dvds ili sebule yako isiwe na vitu vingi vilivyokaa hovyo bila mpangilio..!
On top imebandikwa kioo safiii cheusi kwa ajili ya muonekano mzuri na suala zima la usafi..
Unaweza ipangilia show case yako kwa vyovyote vile utakavyopendelea sababu ni box zilizounganishwa tu..!

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

TZS450000

classiera loader