PAWN SHOP IN TANZANIA
Category : PAWN SHOPS IN TANZANIA
Wauzaji wa viwanja Moshi
Category : Land for sale
Tunakuunganisha muuzaji wa kiwanja na mnunuzi wa kiwanja. Tunakagua eneo kuhakikisha ni salama kwa kununua, tunamsaidia mnunuzi kukuunganisha na wanasheria wa ardhi wakuandali mkataba sahihi. Tunalinda maslahi ya mnunuzi NA muuzaji pia
Wauzaji wa miche ya matunda
Category : WAUZAJI
Tunauza miche ya malimao moshi, bei tsh. 2,000 bila usafiri. Tutakuletea ulipo kwa garama zako. Kitalu kipo kawawa road.
Orodha ya wafugaji Tanzania
Category : Wafugaji
Wafugaji wa mifugo ya aina zote na mahali walipo
Ufugaji wa ngombe wa maziwa
Category : UFUGAJI
Jinsi ya kufuga ngombe wa maziwa
Wauzaji wa sarafu na noti za zamani
Category : WAUZAJI
NunuaUza.com tunauza sarafu za zamani kwa bei nafuu kuanzia tsh.2000 na kuendelea. Kwa mahitaji ya sarafu karibu ofisi zetu jengo LA posta moshi
Wanunuzi wa sarafu na noti za zamani 50,000,000
Category : WANUNUZI
Kampuni ya NunuaUza.com imesajiliwa kufanya matangazo ya mtandaoni pamoja na kukusanya sarafu za zamani Tanzania. Fika ofisi za postal moshi ukiwa na sarafu zako. Kama upo mikoani tuma picha whatsapp 0677775000. Ukitaka kutuuzia utazituma kwenye Basi tuzipokee
Bei ya sarafu za zamani 100,000,000.
Category : Bei / Prices in Tanzania
Hizi ndio bei za sarafu za zamani, inaweza kuwa juu kidogo lakini sio mamilioni unayoyasikia kutoka kwa matapeli. Hakika matapeli wanapotisha watu juu ya vitu vya kale. *****kitu watakachokuambia wanakitafuta kwa bei kubwa watakuoa vigezo vigumu ambapo wao ndi