Wapambaji
Category : TANZANIA DECORATIONS - MAPAMBO
Karibu tupendezeshe shughuli yako kwa vitambaa vyenye rangi nzuri,maua ya kisasa ,viti ,na meza za aina mbalimbali, karibu tukuhudumie kwa bei nafuu
Wauzaji wa mapambo ya nyumba
Category : TANZANIA DECORATIONS - MAPAMBO
Karibu tuipendezeshe nyumba yako kwa picha nzuri za ukutani, fridge magnets,vinyago vya wanyama aina mbalimbali
Selling necklaces
Category : Jewellers
Most welcome
Wauzaji wa Mifuko ya vifungashio Mwanza
Category : Packing / Stationary / Printing
nauza vifungashio vya bahasha kwa ajili ya wajasiliamali na wafanyabiashara kuwekea bidhaa zao.
Wauzaji wa Simu Mpya na Uzed Mwanza
Category : Electronics
Tunauza Simu mpya na used Mwanza. Wasiliana nasi wakati wowote. Angalia baadhi ya Picha za bidhaa zangu Nauza simu mpya na used nipo mwanza.wasapu namba ni 0624287244. Simu zangu zipo vizuri sana.
Nauza Duka la Spea za Magari
Category : Cars & Automotives
Nauza mzigo wote wa spare au hata ukitaka kuja kuendelea na biashara hapa hapa ilala nakuachia nalo pia maelewano yapo. Ninahamia Mkoani Mawasiliano 0715748374 piga Simu au tuma meseji wakati wowote kwa maelezo zaidi
DEUS FURNITURE- HOME-OFFICE-OUT DOOR
Category : Baby&Children Furniture
DEUS FURNITURE- HOME-OFFICE-OUT DOOR Furniture. Naitwa Deus; Natengeneza Furniture Aina Zote Pamoja na vitanda vya rattan natengeneza mwenyewe nipo majohe gongo la mboto; kwa BEI ZA KIZALENDO. Tunatengeneza thamani za aina zote. Zipo zilizo tayari na pia unawe
Badge of the Certificate of Honour for Tanganyika Medal By Queen Elizabeth
Category : Antiques & Old Products
Badge of the Certificate of Honour for Tanganyika Medal By Queen Elizabeth
Wauzaji wa Generator Tanzania
Category : WAUZAJI
Kama wewe unafanya biashara hii wasiliana na soko la Mtandao Tanzania Online Market tukuweke hapa. Tutumie whatsapp; 1. Email address yako 2.biashara unayofanya 3. Mahali , 4. Maelezo ya biashara 5. Picha za bidhaa au Biashara na nembo yabiashara kama ipo. Wha