SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
KIASI_Limited

Member Since  24th August 2018

Offline
Social profile Links

We make and sell Coal Briquettes. Our plant is at Zogowale Village, Madafu area, Kibaha, Coastal region. It is about 53kms from Dar es Salaam and 13kms from Mlandizi. We aim to replace the use of Firewood and Charcoal in homes and in institutions such as Schools, Army, Police, Hospitals, Hotels, Restaurants, etc. We sell from 1kg and there is no maximum. Our products are made from a special formula and regulated with a Laboratory for quality. Our products are tested in an independent Laboratory as well as at the Government Laboratory- TIRDO (Tanzania Industrial Research Development Organization). Save TREES save the ENVIRONMENT!. We can also be reached on Instagram: kiasi_limited; Twitter: @kiasiltd; Facebook: www.facebook.com/nishatimbadala. Tunatengeneza na kuuza nishati mbadala itokanayo na makaa ya mawe. Nishati hii ni bora, salama na nafuu zaidi ya Mkaa wa Miti na Kuni za kununua. Tunatumia kanuni maalumu kutengeneza Nishati hii na hupimwa Maabara binafsi na maabara ya Serikali, yaani TIRDO. Kiwanda chetu kipo Kijiji cha Zogowale, maeneo ya Madafu, Kibaha, Mkoa wa Pwani. Dar es Salaam tupo karibu na kituo cha Mabasi Makumbusho, pembeni ya MESUMA Hotel. Mikoani, tayari tuna Mawakala Moshi, Morogoro na Arusha. Tunaendelea kutafuta Mawakala katika Mikoa na Wilaya ambazo hatujazifikia. Okoa Miti, okoa MAZINGIRA!, tumia NISHATI MBADALA. Tunapatikana pia Instagram: kiasi_limited; Titter: @kiasiltd; Facebook: www.facebook.com/nishatimbadala

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!