SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
BUY AND SELL IN TANZANIA FOR FREE

Ad Details

  • Ad ID: 18006

  • Added: 8th October 2024

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Views: 167

  • Sale Price: TZS 20000

Description

Tumewaletea tena LICORICE ORIGINAL:::: NI SERUM NA OIL YA LICORICE Ukitumia serum & mafuta ya LICORICE hutojutia hasa upate original product
.
LICORICE SERUM
💥Inakupa muonekano mpya wa ngozi ya uso,
💥huondoa mikunjo, hyperpigmentation aina zote, melasma💥 pia hiondoa madoa liyotokana na chunusi pamoja na ACNE
💥na kupunguza skin poles(Matundu) huacha ngozi ikiwa laini &glassy kwa sababu ina antioxidants ambayo husaidia kwa kiasi kikubwa.
LICORICE OIL
☀️kulainisha ngozi yako na kuikinga isipoteze skin texture
☀️Husaidia kuzaliwa upya kwa seli za ngozi. …
☀️Kutibu chunusi na acne hii bila ubishi haijalishi una ngozi aina gani (for all skin types)
☀️Hung’arisha ngozi na kuondoa pigments pamoja na kutumia unyevu nyevu kwa muda mrefu

Tags :

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!