For Sale
Ad Details
Ad ID: 8140
Added: 5th June 2019
Location: Tanzania
State: Dar es Salaam Region
Views: 1612
Description
Karibu upate Miwani ya kuendeshea Gari wakati wa Usiku Miwani hii humsaidia dereva kumkinga na mwanga wa Gari Nyingine zinapopishana barabarani na kuepusha ajali zisizo za lazima.
Miwani hii ni polarised original,inakupa muono wa HD bila kuangalia kwa kufinya macho,au kuweka mkono juu ya macho pia inasaidia kwa wale wanaopenda kuvua samaki,na wale wanaotumia pc kwa mda mrefu.
Kwa tsh 60,000/= tunakutumia popote na ndani ya dar tunakuletea alipo bure kabisa.
Karibuniš