SOLAR PV SYSTEMS DESIGN, INSTALLATION & MAINTENANCE COURSE

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 13594

  • Added: 3rd May 2021

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0712329388

  • Views: 376

Description

🔥🔥SHORTCOURES/TRAINING TITLE/🔥🔥MAFUNZO MAFUPI YA:

*”SOLAR PV SYSTEMS DESIGN, INSTALLATION, OPERATION & MAINTENANCE”* YAANI NI,
*(MAFUNZO MAFUPI YA UMEME MBADALA WA NISHATI YA JUA,UUNDAJI WA MIFUMO YAKE,UFUNGAJI,UENDESHAJI NA MATENGENEZO YA MIFUMO YA NISHATI YA JUA)*

LEO NAWEZA KUJISAJILI KWA AJILI YA KOZI!? ” *NDIO USAJILI UNAENDELEA MWISHO JUMANNE HII TAREHE 04/05/2021.*

TAREHE YA KUANZA:👉 *03/05/2021* HADI *07/05/2021.*

MUDA: *👉SAA8.30* *MCHANA HADI SAA11.00 JIONI.*

ENEO ITAPOFANYIKA *👉:CHUO CHA DIT DAR ES SALAAM NA TUTAENDA WORKSHOP SEHEMU HUSIKA.*

NANI ANAWEZA KUSHIRIKI MAFUNZO HAYA:👉 *YEYOTE ANAEHITAJI MWENYE KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA(HATUJAWEKA VIGEZO VIGUMU WOTE MPATE FURSA HIZI).*

TUTASOMA LUGHA IPI: *KISWAHILI + ENGLISH*

NANI ANAFUNDISHA?!: *WATAALAMU WA NISHATI ZA ASILI KUTOKA DIT,RASCO NA .*

MUUNDO KUSOMA: *TUTASOMA DARASANI NA KIVITENDO KATIKA UBUNIFU NA MIFUMO YA NISHATI JUA .*

KUNA MTIHANI!? *”HAPANA HAKUNA MTIHANI KUNA DISCUSSIONS TU ZA PAMOJA.*

VIBURUDISHO: *VITAKUWEPO SODA ,MAJI + BITES.*

BAADA KUMALIZA: *VYETI VITATOLEWA KWA WASHIRIKI.*

BAADA KUMALIZA NAWEZA KUVITUMIA VYETI KUOMBEA KAZI?!
*NDIO ,BAADA KUMALIZA UTAKUWA UNA TAALUMA NA MAARIFA AMBAYO UTAYATUMIA KWA KUSIMAMIWA AU KUSHIRIKIANA NA MKUU WAKO WA KAZI(SUPERVISOR) UKIWA NA UTENDAJI MZURI UNAFANYA MWENYEWE*

KUJISAJILI/KUJIUNGA NA HAYA MAFUNZO: *FIKA CHUO OFFICE ZA MINING DEPARTMENT DIT DAR ES SALAAM.**

MWISHO KUJISAJILI: *MWISHO JUMANNE TAREHE 04/05/2021(WAHI SASA).*

NINI CHA KUJA NACHO KUJISAJILI?! *KITAMBULISHO KURA/TAIFA NA KAMA MWANFUNZI UJEE NA KITAMBULISHO CHA CHUO.*

MALAZI: *KWA WANAOTOKA NJEE YA MKOA HOSTEL ZA BEI NAFUU ZINAPATIKANA ELFU 5000/- KWA SIKU TU.*

KWA MAWASILIANO:

Waratibu :
Sir Alberto Cheru
0769486865
Bahari Hababuu 0712329388.

Jean-Marie Bitwi.0755649490.

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

classiera loader