MINNESOTA PRE & PRIMARY SCHOOL – Moshi- Nafasi zipo!
Category : EDUCATION IN TANZANIA
Shule ina waalimu wazoefu katika ufundishaji na malezi yanayo endana na karne ya sayansi na teknologia. 1. Shule ni ya kutwa na ada zetu ni nafuu sana. 2. Usafiri kwa wanafunzi kwenda na kurudi upo kwa bei nafuu sana 3. Shule ipo moshi shabaha karibu na nguzo