UBAO WA MATANGAZO – POSTA MOSHI

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 13495

  • Added: 24th April 2021

  • Location: Tanzania

  • State: Kilimanjaro Region

  • Views: 335

Description

Tanzaniaonlinemarket.com / NunuaUza.com ofisi za moshi Zilizoopo jengo la posta moshi, Tumezindua ubao mkuuubwa Wa matangazo.

1. Kama unaendesha biashara au unauza chochote leta Picha au tangazo kwenye karatasi tubandikie ubaoni na pia tutakuwekea tangazo hilo mtandaoni tukusaidie upate wateja kwa haraka!!!!

2. Kama unataka kununua au unatafuta chochote njoo uangalie ubaoni, na pia tembelea Mtandao wa www.tanzaniaonlinemarket.com au www.nunuauza.com

Garama zetu ni nafuu Sana.

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

classiera loader