2,500,000 For Sale
Ad Details
Ad ID: 13530
Added: 2nd May 2021
Location: Tanzania
State: Dar es Salaam Region
Views: 971
Sale Price: 2,500,000
Description
*VIWANJA VINAUZWA KWA BEI NZURI KIBAHA* Viwanja vya makazi Halmashauri ya Mji Kibaha eneo la Misugusugu. Ni kilometer 2 kutoka barabara ya lami. Eneo ni la makazi, zuri na tambarare. Kuna makazi ya watu, maji ya DAWASA na umeme wa TANESCO. Gari inafika ktk kila kiwanja. *Mchanga, matofari na vifaa vya ujenzi vinapatikana jirani kabisa*. Bei kiwanja cha ukubwa wa mita(sio hatua) 20 kwa 20 ni *sh. 2,500,000*. Unaweza kupata viwanja 2 au zaidi ukaviunganisha ukubwa uutakao. Bei haipungui. Faida muhimu unanunua kwangu mimi mmiliki 0754298218 moja kwa moja kwa uhakika bila usumbufu wowote maana nina mji hapo. Karibuni sana kuviangalia na kujichagulia.