SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader
image

Ad Details

  • Ad ID: 9663

  • Added: 24th January 2020

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0777541517

  • Views: 988

Description

CHANGAMOTO⠀
Watu wengi wanafanya mazoezi⠀
Wanenda Gym⠀
Wanaacha kula baadhi ya vyakula⠀
Wanatumia Diet/Program tofautitofauti ⠀
Hawapungui na wengine Wanapungua ila wakiacha wanachofanya Mwili unarudi tena Maradufu ⠀
.⠀
.⠀
KWANINI/SABABU⠀
Unene unasababishwa na mafuta mengi mwilini…⠀
Mafuta mengi mwilini yanasababishwa na taka mwili/TOXINS kua nyingi mwilini e.t.c ⠀
Taka mwili/TOXINS zinasababishwa na Ulaji/Unywaji mbaya, Kula Unbalanced Diet, Pombe, lifestyle mbaya, mwili kutomeng’enya Chakula vizuri e.t.c⠀
Taka mwili/Toxins zikiwa nyingi mwilini zinashambulia Sensitive internal Organs(Moyo, Maini, Figo e.t.c)⠀
Ili mwili kujilinda unatengeneza mafuta mengi kuzuia Toxins zisifikie Sensitive Internal Organs ndio tatizo la Mwili Kuongezeka linatokea⠀
.⠀
.⠀
SOLUTION⠀
Program nyingi za mazoezi na Diet zimelenga kutoa mafuta mwilini zaidi ili mwili upungue…⠀
TOXINS/Taka mwili zinabaki pale pale…⠀
Baada ya muda ukiacha mazoezi na kuendelea kula/kunywa kama zamani mwili unakimbilia kukusanya mafuta mengi zaidi ya zamani ili kujilinda na kuweka akiba nyingi, pale utapokua huli Chakula basi mwili uwe na akiba yake kwa usalama wake…. Hapo mwili unanene tena ama zaidi ya zamani⠀
.⠀
.⠀
C9 PROGRAM⠀
Imeandaliwa ⠀
1.Kusafisha mwili/Detox⠀
2.Kukamua Mafuta yasiohitajika mwilini⠀
3.Kurekebisha Mfumo wa mmeng’enyo wa Chakula⠀
4.Kukutengenezea tabia njema ya Mazoezi na Ulaji Bora(vyakula sahihi kwa afya yako?) Good Life Style.⠀

NI PRODUCTS ASILIA NA SALAMA KABISA KWA MTUMIAJI, HAZINA MADHARA YOYOTE, ZIMETHIBITISHWA NA MASHIRIKA MAKUBWA YA AFYA NA CHAKULA DUNIANI.
.⠀
Kwa mawasiliano zaidina kwa mahitaji ya program yetu pendwa ya C9:⠀
DM/CALL ⠀
Whatsap// 0777541517 .

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!