Ad Details
Ad ID: 15867
Added: 1st October 2022
Location: Tanzania
State: Dar es Salaam Region
Views: 380
Sale Price: TZS 5500
Description
Irene food products niwauzaji wa unga lishe Kwa ajili ya watoto unga bro unga wenye virutubisho Kwa ajili ya ukuaji Kwa watto huwajenga kimwili na kiakili. pia tuna uza lishe Kwa ajili ya watu wazima afya yako nibora kwetu ss karbu Irene food products tukuhudumie bila shida yoyote. Popote ulipo tunakufikishia karbu san.mikoani tuna tuma Kwa bei nafuu.mikoa tunaoyopatikana ni morogoro ,dar es salaam,Arusha ,boma pia kigoma.