150,000,000 For Sale
Ad Details
Ad ID: 15634
Added: 19th July 2022
Location: Tanzania
State: Kilimanjaro Region
Views: 388
Sale Price: 150,000,000
Description
Unatafuta mahali pakujenga Nyuma na Biashara Ndani ya Ngome ya Kilimanjaro? Tumekuletea utakachokipenda. Angalia hii hekari 3/4 ya kiwanja kilichopo Mile Sita, Moshi Kilimanjaro, dakika chache kutokea barabara kuu. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuwa karibu na Mji mzuri ndani ya Kilimanjaro, Unaweza kutumia Kiwanja hiki kufungua Lodge, Hotel, Supermarket na kujenga Nyumba yako binafsi. ni wakati wa kupambana kulipata eneo kabla halija chukuliwa! Piga simu sasa