SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader
image

Ad Details

  • Ad ID: 16225

  • Added: 5th January 2023

  • Sale Price: TZS1

  • Location: Tanzania

  • State: Arusha Region

  • Phone: +255684450076

  • Views: 143

Description

🌹NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.

PID Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza Pelvic Inflammatory Disease ( PID).

P.I.D Ni maambukizi ya Bacteria katika via vya Uzazi (KUTOKWA NA UCHAFU WENYE HALUFU KALI)

*Chanzo Cha PID*

Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- .
.
👉Matumizi ya antibiotics Kwa wingi,
.
kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote wazuri ,Na wabaya hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi.
.
👉Kadhalika ujauzito kuharibika ikiwa ni pamoja na kujifungua na kuachwa bila kusafishwa
.
👉 Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms( kwa baadhi ya watu) na kufanya ngono zembe.
.
Hapa baada ya tendo la ndoa kwa baadhi ya wanawake huwa wanapata shida na mafuta ya condom
.
Hivyo wanapaswa kujisafisha sana
.
👉 Pia *hormonal imbalance* ni chanzo moja wapo baada ya kusababisha uvimbe

*Dalili Za Ugonjwa Wa PID*

1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
.
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri .
.
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
.
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
.
5️⃣Uke kuwa laini sana hivyo Kupata michubuko kiurahisi wakati wa tendo la ndoa
.
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
.
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
.
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
.
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
.
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

*Madhara Ya PID*

•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

PID inatibika na kupona Kwa haraka ukipata tiba sahihi na
Ukifuata dose sahihi

Pia ni mhimu sana kutumia vitu vyenye vitamin C za kutosha

Ila ngumu kutibika usipo fuata dose sahihi na kutotambua shida ni nini.

*Mwanamke Ni Bora ukawa na shida nyingine yoyote Ila so PID* hii inauwezo wa kukuharibia maisha Yako kwa haraka sana.. Hivyo Ni Muhimu kutafuta suruhisho kwa haraka

Nipigie simu nikushauri 0684450076

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

TZS1

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!