SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
BUY AND SELL IN TANZANIA FOR FREE

Ad Details

  • Ad ID: 12246

  • Added: 27th June 2020

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Views: 1290

  • Sale Price: TZS 1000

Description

Ni Unga wa Asili kwa matumizi ya chai, wenye mchanganyiko wa Mbegu na majani ya Mparachichi mwekundu, Mdalasini, Iliki, Karafuu na Tangawizi…..
Majani haya ni lishe na tiba kwa magonjwa hasa hasa matatizo ya Shinikizo la damu, sukari, Athma, Ukosefu wa usingizi pamoja na Mfumo wa hedhi kwa akina mama.
Tunafanya mauzo kwa wateja wa jumla na reja reja.
Kwa wakazi wa Dar Es Salaam tunapeleka bedhaa moja kwa moja walipo bila malipo yoyote ya usafiri…. 10,000/= @dozen

Tags :

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!