Ad Details
-
Ad ID: 13693
-
Added: 9th May 2021
-
Sale Price: 3,000
-
Location: Tanzania
-
State: NunuaUza.com
-
Phone: 0677775000
-
Views: 556
Description
SUPU YAPWEZA
Vipimo
Pweza – 1 Kilo
Chumvi – 1 kijiko cha chai
Tangawizi mbichi iliyosagwa – 1 kijiko cha chai
Kitunguu saumu (thomu/galic) iliyosagwa – 1 kijiko cha chai
Masala ukipenda – 1 kijiko cha supu
pili.pili.mbuzi ili ipate kiharufu kizuri ikichemka
Maembe mabichi nandimu aunlimau kuchapuzia
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Osha pweza kisha mkatekate
Mtie viungo vyote ulotayarisha na chumvi
Muache nusu saaa akolee viungo
Mtie ndani ya sufuria bila maji mfunike kisha weka jikoni, atatumbuka maji mwenyewe kwa moto wa kiasi paka awe rangi ya damu yam zee (maroon)
Akishawiva kwa rangi hiyo ongeza maji weka namaembe yako yachemkie theni tia kidimu au kilimau ichapukie hapo tayari kwamie kwakula na kiwali chamaji au kunywa kwakuingeza Afya
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
3,000