SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader
image

Ad Details

  • Ad ID: 16210

  • Added: 30th December 2022

  • Sale Price: on call

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0714483889

  • Views: 210

Description

*UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE*

Bawasiri ni niniHuu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk

SABABU YA BAWASIRI

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa Vinyama sehemu ya haja kubwa

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa

3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

4.kupata kinyesi chenye damu

5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidiaKupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa bawasiri inapofikia hatua mbaya

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.Uzito kupita kiasi(Overweight)Ujauzito

3.Kunyanyua vitu vizito na Mazoezi makali

4.Kukaa sana sehemu eneo moja mda mrefu

5.Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).

6.Kujisaidia Choo Kigumu.
Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:-Vidonda vya Tumbo-Ngiri/Hernia-Ulaji duni

AINA 2 ZA BAWASIRI

1.BAWASIRI YA NJENi kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANINi kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni:
⤵⤵⤵⤵
HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia.

HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda

HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

ATHARI ZA BAWASIRI

1.Upungufu wa damu mwilini

2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

4.kupungukiwa nguvu za kiume

5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

6.Kupata tatizo la kisaikolojia

7.Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)

8.Mwili kudhoofika mwili na kinga kupungua

TIBA YA BAWASILI

Mara nyingi Tiba ilio zoeleka kwa hospital ni upasuajiIla tuna bidhaa ambazo zimewasaidia wengi zenye uwezo wa kuondoa bawasili bila upasuaji.

Nitafute kwa huduma kama una hidaji jitibu bila kufanya upasuajiKwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa kutuma ujumbe ama kutupigia simu namba zetu zipo apo chini.

0684450076

Novel Depil CapsulesBidhaa hii itakusaidia kukuponya na kutibu chanzo cha bawasiri bila kufanya upasuaji

Faida zake????????????

○ Inasaidia kuondoa Bawasiri Sugu, Nyama ya bawasiri au uvimbe na kutoka kwa damu.

○ Huondoa maumivu yanayosababishwa na uzito wa miguu.

○Hutuliza mvutano wa mishipa miguuni kunakoweza kusababisha damu kushindwa kurudi kwenye moyo.

○ Husaidia Damu kuzunguka vizuri.

○ Ni Nzuri sana kuondoa mlundikano wa uric acid kwenye maungio inayopelekea kuharibika kwa mifupa (Arthritis)

○ Ni tiba ya kuvimba kwa mishipa inayopitisha damu miguuni (Vericous Veins)

○ Kuboresha uzalishaji wa homoni zinazosaidia ubongo na mwili kufanya kazi.

○ Zinaongeza uzalishwaji wa seli mpya zinanopambana na wavamizi (leukocyte and endothelial cell)

○ Inapunguza mnato wa damu na kurahisisha mzunguko wa damu (blood viscosity and improve blood circulation)

○ Inaboresha mzunguko wa maji mwilini kwenda sehemu zinazotakiwa

Nipigie simu kujipatia huduma hii ikiambatana na bidhaa nyengine yenye kufanya vizuri kwenye mfumo wa mengenyo wa chakula chanzo cha bawasiri kinapo anzia.

Namba chukuwa hapo chini Bidha ni ya asili isiyo na kemikali Ipo mfumo wa kidonge Inavidonge 60 Inatumika siku15 Dozi parkege3 Inatumika siku 30

Weka order kabla hazijaishaKutibu matatizo ya bawasiri na madhara yake.

Namba ipo apo chini.

0684450076

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

on call

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!