Ad Details
Ad ID: 13100
Added: 2nd February 2021
Location: Tanzania
State: Kilimanjaro Region
Views: 749
Description
Minja’s Lounge Iliopo Moshi mjini, karibu na majengo stand , Tunatoa huduma za vyakula, vinywaji , Live band, pia utaweza kufurahia screen kubwa ya TV kwa kutazama mechi za mpira na Chaneli mbalimbali duniani bure.
Tuna mazingira mazuri yenye kuvutia na kuburudisha.
Tuna toa huduma za kuosha magari wakati unaendelea kuburudika.