Ad Details
-
Ad ID: 17923
-
Added: 13th April 2024
-
Sale Price: 135,000
-
Location: Tanzania
-
State: Dar es Salaam Region
-
Phone: +255658397814
-
Views: 60
Description
PALLETS ZA MIZIGO ZA PLASTIKI
PALLETS ZA KUWEKEA MIZIGO KIWANDANI / STOO AMA GODOWN.
Leo tumekutegenezea palletes za mbao za plastiki zinazotokana na taka za plastiki, zenye formula maalum ya kuhimili uzito wa mpaka tani tatu, hazivunjiki, haziliwi na mchwa na haziozi.
Mbao hizi ni size ya 4*2 na 4*4, zinafungwa na bolts, zinahamishika, na hata siku akizichoka anaweza kutuuzia sisi tukazinunua kama malighafi ya kutengenezea bidhaa zingine Kiwandani.
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
135,000