SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader
image

Ad Details

  • Ad ID: 8293

  • Added: 10th June 2019

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0714003752/0682566622

  • Views: 2307

Description

Matatizo yafuatayo yamekuwa Changamoto kwenye Kompyuta na Simu, nasi CATAUX COMPUTERS tumejidhatiti vya kutosha kuhakikisha matatizo hayo yanatatutiwa.
JE UNAKUMBWA NA MOJAWAPO KATI YA HATA??
1. Kuzima ghafla kwa Kompyuta/Simu yako, hili ni tatizo ambalo hasa mara nyingi husababishwa na shoti kwenye ubao mama, n.k
2. Keyboard kushindwa kufanya kazi, hapa huwa ni pale ambapo baadhi ya “key” hazifanyi kazi kabisa, hivyo unahitaji kubadilisha hiyo keyboard.
3. Kuharibika kwa bawaba ambazo mara nyingi huvunjika.
4. Kuharibika kwa kioo/ kutoonesha kabisa, hivyo ni vyema kukibadilisha.
5. Kuharibika kwa HDD pamoja na RAM.
6. Kubadilisha “Cover” la Kompyuta yako kulingana na model ya Kompyuta husika.
7. Kuharibika kwa battery, Adapter, n.k.
8. Kuharibika kwa Mouse/touchpad.
9. Kuharibika kwa “USB Port” hizi kwa kiasi kikubwa hubadilishwa na kuweka mpya zilizo bora.
10. Kuharibika kwa “System charge”
.
11. Kuharibika kwa “Touch/Display” hasa kwa upande wa Simu.
12. Kuwepo kwa Virusi/Virus kwenye Kompyuta/Simu. Hapa tunaondoa virus na kuweka ulinzi kwenye Simu /Kompyuta.
13. Kurudisha Data/ mafaili yaliyopotea kwenye Kompyuta/simu yako.
14. Kuharibika kwa sehemu ya kuweka line kwenye
15. Simu kuwaka n.a. kuishia kwenye LOGO?

Pia tunauza vifaa Original vya Kompyuta na Simu pia (Computer/Phone Accessories). Kwa upande mwingine tunahakikisha tunatoa Makala mbalimbali na Ushauri kwa njia tofauti tofauti ili kuhakikisha Matatizo kwenye Nyanja hii ya Kiteknolojia yanatatuliwa.

Tutembelee hapa Dar es salaam, Mwenge Stand ya Zamani.
Piga au Tuma SMS kwenye namba hizi
0714003752
0682566622

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!