Ad Details
Ad ID: 16370
Added: 8th April 2023
Location: Tanzania
State: NunuaUza.com
Views: 223
Sale Price: 360,000
Description
Tunatafuta wadhamini 8 wa Mtandao yetu ambao Nembo za biashara / kampuni zao zitakaa za kwanza juu ya website zetu zenye kutembelewa na Watu wengi kutoka ndani na nje ya nchi. Nembo hizo zitawekewa link ambapo mteja aki bofya au kugusa itampeleka kwenye website au page ya Mdhamini wetu itakayokuwa ikielezea biashara au huduma yake kwa undani.
Garama za kukaa kwenye Mtandao yetu kwa sasa ni Tsh.360,000 kwa mwaka sawa na Tsh 1,000.kwa siku.
Wasiliana nasi kuuliza chochote 0677775000