Watengenezaji na Wauzaji wa Mahema / Tents / Maturubai
: Technicians/Mafundi / Mechanical Engeneers : Kilimanjaro Region
on call PRO SERVICES
Ad Details
Ad ID: 16396
Added: 17th April 2023
Location: Tanzania
State: Kilimanjaro Region
Views: 415
Sale Price: on call
Video
Description
Sisi ni wataalamu wa kutengeneza Mahema ya aina mbalimbali kama vile ;
Hema za sherehe, hema za camping kubwa na ndogo, car parking sheds n.k
Pia tuna design na kutengeneza camping sites.
Tunauza hema za mlimani na vifaa vyote vya utalii.
Tunakodisha hema za aina zote.
Tunatengeneza furniture za chuma za aina zote kama viti, meza ,vitanda n.k
Steel roofing; tunapawa kwa kutumia chuma.
Steel warehousing Construction.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa Simu/ SMS / whatsapp 0713711164