SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader

Ad Details

  • Ad ID: 17446

  • Added: 13th September 2023

  • Sale Price: sales

  • Location: Tanzania

  • State: Morogoro Region

  • Phone: 0686447147

  • Views: 124

Description

🍊🥑OFA MICHE YA MUDA MFUPI🥑🍎
Jipatie miche ya Matunda kwa bei ya 2000 jumla kuanzia 50 na rejareja 2500 kuanzia 10.

📞 0686447147

🌱Miche hii ni ya kisasa huanza kuzaa kuanzia miaka miwili Hadi mitatu imeandaliwa kitaalamu na vijana kutoka chuo Cha SUA.

*AINA YA MICHE INAYOPATIKANA NI*
🌱Maembe aina zote – 2500/=
(Red India, Alphonso, Bolibo, Dodo, Apple, Tommy na Kent)
🌱Machungwa -2500/=
🌱Limao -2500/=
🌱Parachichi(Hass na local) -3000/=
🌱Chenza -2500/=
🌱Ndimu -2500/=
🌱Pomelo -3000/=
🌱 Passion -2000/=
🌱Giant passion -2000/=
🌱Migomba -2500/=
🌱Strawberry – 2500/=
🌱 Pera -2500/=
🌱Stafeli -2000/=
🌱 Topetope -2000/=
🌱 Fenesi. -2000/=
🌱 Minazi mirefu – 5000/=
🌱 Mizambarau -2000/=
🌱Papai za kisasa -3000/=
🌱Komamanga -2500/=
🌱Tende – 7000/=
🌱Mizaituni -5000/=
🌱 Zabibu. – 4000/-
🌱Miti ya Hina – 3000/=
🌱Korosho -3000/=
🌱 Macadamia -3000/=
🌱mikaranga(Guinea nuts)- 3000/=
🌱Miche ya Apple. -10000|=

VIUNGO (SPICES)
🌱Karafuu – 5000/=
🌱Mdalasini – 2500/=
🌱 Pilipili manga -2500/=
🌱Vanila -4000/=
🌱 Iliki -4000/=
🌱Mint -4000/=
🌱 Rosemary – 3000/=
🌱 Green tea -3000/=
🌱Mbilimbi – 2500/=
🌱Mchaichai(lemon grass)- 2000/=

🌲🌳 *MITI YA MBAO ni sh . 1,000/=* ukichukua mingi Kuna punguzo.
Miti yenyewe ni kama vile
🌲Mitiki
🌲Mikaratusi
🌲Mijakaranda
🌲Grivellia (mielezi)
🌲Mivule
🌲Sederela
🌲Mikongo

Miti ya kivuli
🌳Midodoma 2000
🌳 Mijohoro 2000
🌲Ashok. 2000
🌳Mikrismass. 2500
🌳 MIHARADALI- 3000

📌Tunapatikana MOROGORO chuo kikuu cha kilimo SUA

📞PIGA/WHATSAPP NAMBA:
0686447147 Madam lydia gerald kutoka SUA

🛄Kwa wale wa Morogoro au jiran unaweza ukafika kitaluni kwetu au kama ni
Mikoani tunakutumia kwa basi 🚎🚎🚎 popote ulipo Tanzania bara .
Utaratibu ni kwamba utatuma pesa ya idadi ya Miche unayohitaji pamoja na hela ya usafiri alaf tutakuandalia mzigo wako tutakupigia picha mzigo alafu tunakutumia pamoja na tiketi ya Basi ambalo litakuletea , wew utafika ofisini kwao kuchukua mzigo wako.

🍀🥑NOTE:PIA TUNAPOKEA ODA ZA MAKAMPUNI, TAASISI , MASHIRIKA AU WATU BINAFSI WANAOTAKA KUFANYA MIRADI MIKUBWA YA KILIMO CHA MATUNDA , UKIHITAJI MICHE ZAIDI YA 1000 TUNA OFA YA PUNGUZO MAALUM KWA AJILI YAKO .

💻Pia tunatoa ushauri buuuure kabisa wa namna ya kuandaa shamba kuitunza/kuilea Miche mpaka kukua kabisa.

🤝Karibuni sana .

✔️0686447147

Nakuomba save namba yangu hiyo 👆 hata Kama hauhitaji Miche kwa Sasa.

#TUNAOMBA SANA SAPORT YAKO
🌲🌳🌴🍎🍏🍒🍓🥝🥑🍈🍇🌴🌲🌳 — at Sokoine University of Agriculture

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

sales

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!