SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader
image

Ad Details

  • Ad ID: 13201

  • Added: 24th February 2021

  • Location: Tanzania

  • State: Kilimanjaro Region

  • Phone: +255 754 504 267

  • Views: 1330

Video

Description

YCS COLLEGE OF AFRICA-MOSHI

Wale mabingwa wa kutoa Elimu Tanzania kwa zaidi ya miaka 20 sasa na kuwa daraja kwa watu wengi kufikia malengo yao YCS COLLEGE OF AFRICA tunakutangazia kuwa tumeanza kupokea wanafunzi kujiunga na kozi mbalimbali mwaka wa masomo 2021/2022.

CHUO KINA USAJILI WA VETA NA NI KITUO CHA KUFANYIA MITIHANI YA TAIFA

IDARA YA SEKONDARY

Tunapokea wanafunzi wote wanaotaka kujiunga au kuhamia kidato cha:
• Nne (Form Four Resisters)
• Kidato cha kwanz ana cha pili (QT)
• Pre-Form V (Cmbination zote za Arts na Science)
• Pre-Form One
• Tuition kwa wanafunzi wanao jiandaa na mitihani yao ya kidato cha pili, nne na sita.
• Waliomaliza darasa la saba wanaweza kujiung ana kidato cha kwanza (Form One)

KIDATO CHA TANO NA SITA

Kidato cha Tano na Sita (Form V & Six) kwa michepuo (Combinations) za HGL, HGK, HKL, HE

• Wenye alama “C” tatu wanaweza kujiunga na kidato cha tano na sita hata kama combination hazija balance
• Wenye alama “C” mbili wataruhusiwa kuendelea na kidato cha Tano (Form Five) huku wakirudia mtihani wa kidato cha nne ili kupata “C” moja bila kutozwa gharama za kurudia mtihani.

IDARA YA LUGHA

• Kozi ya Kiingereza (English Course) cha kuongea na kuandika kwa muda wa miezi mitatu (3)
• Spanish • French • German (Kijerumani

IDARA YA CHUO

Tunapokea wanafunzi waliomaliza kidato cha nne katika kozi za:
• Utalii (Tourism & Tour Guiding)
• Uwalimu wa shule za awali (Early childhood education)
• Uhazili (Secretarial Course)
• TEHAMA (ICT)
• Hotel Managementkozi za uendeshaji na upambaji wa matukio (Event planning and management course)
• Upambaji na utengenezaji wa keki

SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO

• Wale wote wenye alama “D” mbili wanaweza kujiung ana kozi hizi

KOZI FUPI ZA COMPUTER

• Computer Application
• Graphics Design
• Web Application Development
• Android Development
• Cisco-IT Essential
• Computer Maintenance
• Typing Master

MASOMO YA JIONI

Tuition kwa wanafunzi wanaojiandaa na:
• Kurudia mtihani wa kidato cha nne (Resisters)
• Kurudia mtihani wa QT

OFA OFA OFA

• Wana chuo wenye Division Zero watapewa nafasi kurudia mtihani wa Kidato cha Nne BURE huku wakiendelea na chuo
• Chakula cha mchana BURE kwa wanafunzi wote
• Ada ni Nafuu sana na zinalipwa kwa awamu
• Mabweni yapo kwa gharama Nafuu sana
• Shule ina maktaba kubwa ya kujisomea BURE

AJIRA: Tunawaunganisha wanafunzi na makampuni kwa ajili ya ajira.

Tunapatikana mkatabala na ofisi ya Mkuu wa Wilaya Moshi Mjini (Bomani)
Kwa maelezo zaidi piga simu namba:
0754 504 267, 0756 693 443
Email: ycscollegeofafrica@gmail.com/WEB: www.ycscollegeofafrica.com

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!