SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader
image

Ad Details

  • Ad ID: 15077

  • Added: 17th December 2021

  • Sale Price: Price on call

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0716844191

  • Views: 260

Description

Karibuni Sana kwenye huduma za Menorah catering and events management.

Tunachukua Oda za vyakula aina zote fresh juice,cocktail na mocktail ,maofisini , madukani,masaiti ,bila kusahau masherehe ,kupamba ,keki,huduma ya video na kupiga picha kwenye harusi,seminar,birthday na kadhalika

Kuanzia watu 10-5000 pamoja na misiba pia

Wasiliana nasi kwa namba ;

0692334227 / 0716844191

(kutakua na ofa za cocktail na mocktail za watu 50 na pia ofa kipindi hiki Cha holiday season ofa kabambe ya fungate kwa ajili ya Bi harusi na Bwana harusi yakulala hotel Golden tulip stone town Zanzibar kwa siku mbili Zanzibar ya budget yetu).

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

Price on call

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!