SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader

Ad Details

  • Ad ID: 7580

  • Added: 27th February 2019

  • Sale Price: TZS5000

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0687000768

  • Views: 664

Video

Sadick Kilasi:
Kutekeleza Na Kutafakuri Ulichotekeleza.

Unaweza kujiuliza katika maisha, kwanini huwa tunafanya tunachokifanya? Ili iwaje?

Ukimtazama mtoto namna ambavyo anatekeleza mambo waweza kupata majibu ya mambo mengi sana katika maisha na ukatambua tofauti kati ya mtoto na mtu mzima.

Mtoto huwa anafanya anachotaka kufanya na mtu mzima pia huwa anafanya anachotaka kufanya. Mtoto atashika hiki ataacha na mtu mzima hivo hivo, anashika hichi harafu anaacha. Mtoto na mtu mzima, tunashika na kupeleka hapa na kuacha. Lakini kila kitu ambacho tunakifanya, kipo ndani ya dunia. Wengine wanakusanya na wengine wanatawanya. Sasa ni kipi cha muhimu zaidi katika maisha haya?

Unaweza ukawa unafanya jambo fulani ukajiona wewe ndo upo sahihi kuliko wengine, lakini je, ni kweli? Kwanini? Kwanini Mungu ambaye aliumba mbingu na nchi ameacha mambo mengine yaendelee kuwepo ambayo mimi aka wewe tunayatazama kwa jicho la ubaya?

Kwanini mzazi amwazibu mtoto pale anapohisi yeye kwamba mtoto amekosea? Na kuna uhakika gani kwamba mtoto amekisea na sehemu ambayo wewe mzazi umweka ndio sehemu salama zaidi wakati wewe mwenyewe jibu la dakika moja ijayo hujui kitu gani kitatukia?

Hakika maisha ni siri nzito ambayo Mungu pekee ambaye anaona kotekote anaweza kufasiri zaidi. Lakini mimi huwa naamini kwamba maisha ni kutenda na kutafakuri kile ambacho nimekitenda na kurahia, kama hakinifurahishi naboresha ikisha nafurahia kazi yangu niliyoifanya.

Kwahiyo kuna mambo mawili tu ambayo ndo maisha;
1.Kutenda na
2. Kutafakuri kile ambacho nimekitenda.

Utofauti wa mtoto na mtu mzima ni huu, mtoto anafanya harafu hatafakuri lakini mtu mzima anatenda lakini anatafakuri. Sasa ubaya unakuja hapa, mtu mzima anatafakuri lakini halidhiki lakini mtoto hatafakuri lakini analidhika.

Sasa katika na kuchua zile tabia za kitoto huwezi kufurahia maisha. Lazima uchukue tabia za kitoto na uzitumie na kuchanganya na tabia za utu uzima na hapo ndipo utafikia kiwango kikubwa cha furaha.

Watu huwa tunafanya kosa hili moja, kupokea na kutokutunza ulichopokea. Naweza kusema, ulevi wa maisha, mtu mlevi ni yule ambaye anatamani ile pombe iliyopo mbele bila kuijali ambayo amekunywa tayari na mwisho pombe inapitiliza tu mwilini. Pombe hiyo haifanyi kazi kama pombe bali mtu huyu ataitwa mraibu wa pombe. Badala ya kuwa pombe unakuwa sasa utapia pombe. Paulo alimwambia Timotheo, tumia sasa kidogo mvinyo kama dawa. Ni muhimu kukitunza kila kitu ambacho kinapitia kwako ili kifanye kazi.

Kuna tabia tano ambazo huwa zinaleta furaha lakini zikiongozwa na mambo hayo mawili. Katika kitabu cha DUNIA MAMA, tumechanganua sana juu ya mambo hayo mawili, hakikisha unajipatia soft Copy yako kwa shilingi 5000 tunaposubiri hardcopy. Tuma pesa yako kwenda 0687000768 au 0755783228, na ni vizuri kunijurisha ili nami nikutumie haraka.

Kuyaishi maisha unapaswa kuongozwa na mambo hayo mawili, kwa hiyo ni muhimu kuyajua zaidi hayo mambo. Nimekuwa nasoma neno la Mungu na nashukuru Yesu ananifundisha lakini pia nimekuwa natumia mazingira ya kawaida ambayo tunaishi ili kukusanya na kuelewa ni kitu gani kimekosekana watu hatuna furaha lakini nimegundua kuna mambo mawili ambayo yanaongoza maisha lakini pia kuna tabia tano ambazo husababisha furaha. Kwa kadili ambavyo tunakwenda tutashirikishana kwa wakati.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.

Description

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

TZS5000

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!