5000-15000 For Sale
Ad Details
-
Ad ID: 9007
-
Added: 20th September 2019
-
Sale Price: 5000-15000
-
Location: Tanzania
-
State: All
-
Phone: 0742366313
-
Views: 2167
Description
*🌺BRIGHT CASTOR OIL🌺*
*Karibu ujipatie mafuta Bora yatakayo saidia kubadilisha muonekano wa nywele yako na ngozi*
🌺Mafuta haya ni mafuta yanayotokana na mmea wa mnyonyo,ni mafuta yanayo endelea kutenda miujiza kwa watu wengi sana kila iitwapo leo katika suala zima la ngozi na nywele.
*🌺🌺*Mafuta yetu yana faida zifuatazo;-* 🌺🌺
👉-Hukuza nywele kwa haraka
👉Huzuia nywele kukatika
👉Hujaza nywele
👉Huondoa mba na muwasho
👉Huondoa magaga miguuni
👉Hutibu vidonda kichwani
👉Huondoa michirizi
👉Huzuia nywele kukatika
👉Hukuza kope na nyusi
👉Huchua maumivu ya viungo.
👉Huotesha nywele kwa wenye vipara
👉Hutumika kwa masaji
👉Hurainisha ngozi
👉Hurainisha lips na kuwa zenye mvuto zaidi n.k
*Bei zetu zinategemeana na ujazo wa chupa.* Yapo ya
Tzs5000 ml60
Tzs10000 ml120
Tzs15000 ml250
*KARIBUNI SANA*
*☎0742366313/0628170735*
ASANTENI
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
5000-15000