3,000

MAHARAGE YA NAZI YA BINZARI YA MANJANO

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 13679

  • Added: 9th May 2021

  • Sale Price: 3,000

  • Location: Tanzania

  • State: Dodoma Region

  • Phone: 0677775000

  • Views: 234

Description

MAHARAGE YA NAZI YA BINZARI YA MANJANO

☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️
MAHITAJI

☘️☘️NYANYA

☘️☘️BINZARI YA MANJANO

☘️☘️NAZI

☘️☘️MAHARAGE

☘️☘️CURRY POWDER

☘️☘️TOMATO YA MKEBE

☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️
JINSI YA KUANDAA

chukua maharage tenga mbaka yaive

chukua sufuria weka mafuta kisha nyanya chumvi funika alafu weka binzari ya manjano na curry powder koroga vizuri kisha funika tena mbak ziive uiifunua chuka maharage weka changanya baada ya hapo weka nazi na tomato paste changanya vizuri funika ya chemke kwa dakik tano kisha ipua tyr kuliwa

😇enjoy

prepared by admin princess catering and decorate✍️

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

3,000

classiera loader