SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
BUY AND SELL IN TANZANIA FOR FREE

Ad Details

  • Ad ID: 13527

  • Added: 2nd May 2021

  • Location: Tanzania

  • State: Kilimanjaro Region

  • Views: 724

  • Sale Price: 45,000

Description

Usiogope kuendesha gari usiku kwa kuwa huoni vizuri Polarised vision glasses zipo kwa ajili yako.Ni miwani mizuri sana kwa madereva, Inasaidia kuona vizuri usiku ukiwa unaendesha gari kwa kupunguza mwanga mkali wa taa za magari mengine ambao unaweza kusababisha ajali. Inakusaidia kuona clear usiku ukiwa unaendesha gari.
Miwani hii inasaidia kuona clear kipindi cha mvua ,pia kunapokuwa na wingu unaona clear kabisa.
Miwani hii unaweza kuivaa juu ya miwani yako ya macho.
Miwani hii haina lens hivyo ni salama kwa macho yako.Inachofanya ni kuelekeza mwanga upande mmoja ili wewe kuona vizuri iwe ni usiku na hata mchana.

Moshi mjini Fresh Coach Building shop No. 11 Mikoani Tunatuma unalipia baada ya kupokea. Simu/sms/whatsapp: 0762461460

Bei ya ofa ni 45,000 tu KWA muda maalum.

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!