Ad Details
Ad ID: 9315
Added: 21st November 2019
Location: Tanzania
State: Kilimanjaro Region
Views: 2291
Description







Shule ina waalimu wazoefu katika ufundishaji na malezi yanayo endana na karne ya sayansi na teknologia.
1. Shule ni ya kutwa na ada zetu ni nafuu sana.
2. Usafiri kwa wanafunzi kwenda na kurudi upo kwa bei nafuu sana
3. Shule ipo moshi shabaha karibu na nguzo za umeme kata ya mabogini.
NAFASI ZA KUJIUNGA NA SHULE;
-CHEKECHEA
-DARASA LA KWANZA HADI DARASA LA SITA.
WASILIANA NASI SASA 0754498728